November - December ya Amini itakavyokua hivi - Picha

IMG-20140318-WA0007 
Amini kutoka Tht ameanza kutengeneza video ya wimbo wake wa November December upande wa Audio wimbo huu aliutoa January 07,baadhi ya vipande vya video hii vinaonyesha daraja la Ruvu inawezekana ikawa ni video ya kwanza kwa Amini kutokea akiwa na mavazi halisi ya kiafrika.
Video yake inatengenezwa na Director Raymond Kasuga kutoka the Dreams Studio miongoni mwa video alizowahi kuzifanya Director ni pamoja na video ya Meninah ile ya Shaghala Baghala,hizi ni baadhi ya picha hizo.
IMG-20140318-WA0010
IMG-20140318-WA0009
IMG-20140318-WA0008
IMG-20140318-WA0006
IMG-20140318-WA0005
IMG-20140318-WA0004
IMG-20140318-WA0003

Post a Comment

Previous Post Next Post