SOMA KAULI ZA YANGA, AZAM FC ASUBUHI KABLA YA MECHI YA JIONI UWANJA WA TAIFA!!

33 
Zimebaki saa chache kuwashudia mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara, Young Africans wakiwakaribisha makamu bingwa Azam fc katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam.
Mechi hiyo yenye uzito wa juu kwa timu zote itaanza majira ya saa 10:30 jioni.
Endapo Yanga watapata ushindi, basi watawasogelea Azam fc waliopo nafasi ya juu kwa pointi 43, huku Yanga wakiwa na pointi 39 nafasi ya pili.
Kama Azam fc watashinda basi wataendelea kutia mguu mmoja ndani mwingine nje katika kuwania ubingwa msimu huu.
Asuhubi hii kila klabu imetoa kauli katika mtandao wa kijamii wa facebook.
KUSOMA KAULI HIZI BOFYA HAPA CHINI

Post a Comment

أحدث أقدم