Vyombo vinavyoele baharini huwenda vikawa mabaki ya ndege ya Malaysia

Indonesia Malaysia Plane
Indonesia Malaysia Plane
Waziri mkuu wa Australia Tony Abott ameliambia bunge kwamba picha za setaliti zinaonesha vifaa vinavyo fanana na mabaki ya ndege ya Malyasia iliyopotea nje ya pwani ya kusini magharibi ya Australia katika eneo kusini ya Bahari ya HIndi.

Bw. Abbott anasema ndege ya kijeshi imepelekwa katika eneo hilo na inatazamiwa kuwasili Alhamisi mchana saa za Austrlia, na ndege nyingine tatu zitapelekwa kuanza uchunguzi wa kina kutafuta eneo hilo.

Hata hivyo Bw Abbot alionya kwamba kazi za kutafuta na kupata vyombo hivyo inaweza kua ngumu na huwenda visihusiane na ndege hiyo nambari MH370

Post a Comment

أحدث أقدم