Waziri
wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akisalimiana na Mkurugenzi ya
Halmashauri Wilaya Chamwino Mkoani Dodoma Adrian Jungu.baada ya
kuwasili kuzindua mradi mkubwa wa maji wenye uwezo wa kuwahudumia wakazi
zaidi ya elfu 13 uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 300.kilichopo
katika kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiongea na wana kijiji wa Mvumi makulu Mkoani Dodoma
إرسال تعليق