Wapendwa
naomba msaada maana naona napotea , yaani boy wangu alisafiri kikazi
karibia mwaka mzima sasa huku mimi sababu ya upweke nikaanza kuchepuka
na Boss wangu , kila week end ananipeleka nje ya Mji kama Bagamoyo ama
Kigamboni tunalala huko na kufanya starehe za kila aina , Baada nikawa
natoka na Wengine pia wenye pesa , sasa cha ajabu nikitoka na mtu ambae
hana pesa za kunipeleka mbali ya mjini na kunipa starehe mbali mbali si
enjoy hata tukifanya sifiki kileleni , Sasa kibaya boywangu amerudi
nashangaa simfeel hata kidogo kama zamani kwani yeye si mtu wa
sterehe....yaani sometimes ili nienjoy inabidi nichepuke kwa wale
mapedeshee wenye kujua starehe ni nini ....Nifanyaje?
إرسال تعليق