Mke
wa Rais nMama Salma Kikwete akipokewa na Rais wa Chama cha Wakunga
Tanzania Ndugu Febby Mwanga mara alipowasili kwenye Uwanja wa Mnazi
Mmoja kulikofanyika kilele cha maadhimisho ya siku ya wakunga duniani
tarehe 5.5.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Ndugu Clavery Mpagama mara
baada ya kuwasili Mnazi Mmoja kuhudhuria kilele cha siku ya wakunga
duniani tarehe 5.5.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea maandamano ya wakunga wakati wa
kilele cha siku ya wakunga duniani yaliyofanyika katika viwanja vya
Mnazi Mmoja tarehe 5.5.2015.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimi mtoto Rahim mwenye umri wa miezi 2
akiwa na baba yake ndugu Amir Adam, 35, na mama yake Hamida (kushoto)
walipompeleka kupata chanjo wakati wa sherehe za kilele cha siku ya
wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja
tarehe 5.5.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwa
yakitoa huduma ya afya ya mama na mtoto wakati wa kilele cha cha sherehe
za siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dar es Salaam
tarehe 5.5.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wakunga na wananchi
waliohudhuria sherehe za kilele cha siku ya wakunga duniani iliyofanyika
kitaifa hapa nchini kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 5.5.2014.
Mke
wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wakunga
Tanzania na baadhi ya wakunga waliohudhuria sharehe za kilele cha siku
ya wakunga duniani tarehe 5.5.2014.
Picha zote na John Lukuwi
Post a Comment