|
Picha si Halisi |
Habari zilizotufikia usiku huu kutoka Mbagala, Wilaya ya Temeke jijini
Dar es Salaam ni juu ya ajali ya lori la mafuta kupinduka Mbagara Rangi 3
majira ya saa tano usiku, na kulipuka, nyumba kadhaa zimeteketea na
watu zaidi ya 50 wanaripotiwa kufa. Hisia za Mwananchi Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na janga hilo.
إرسال تعليق