Davido ambaye alishirikishwa na Diamond kwenye remix ya ‘Number One’
iliyofanya vizuri barani Afrika, ataingia usiku wa October 16 huku
wakali wengine kama Waje, Victoria Kimani pamoja na meneja wa T.I na
watu wake wanaingia Jumatano usiku.
Akizungumza mmoja ya wana kamati wa tamasha la Serengeti Fiesta, Fauzia, amedai kuwa licha ya wasanii hao aliowataja, huenda list ya wasanii wa Afrika ikaongezeka.
“Leo saa 12 na dakika 20 jioni anaingia Victoria Kimani, halafu leo leo saa sita usiku T.I meneja wake. lakini akina T.I. hawaingii leo, lakini meneja wake anaingia na watu wake. Halafu usiku wa saa 7 anaingia Waje. Kesho saa 6 usiku anaingia Davido na crew yake, kesho tena saa 7 usiku anaingia Patoraking, halafu Ijumaa saa 3 na dakika 20 usiku anaingia T.I. Pia Yemi Alade huenda na yeye akawepo kwasababu tupo kwenye mazungumzo naye, alisema Fauzia.

إرسال تعليق