Mkutano wa chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA Iringa Mjini Jana


Wazungumzaji wakuu kutoka kulia ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar(Kulia) na Dr Wilbroad Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa (Katikati), Mch Peter Msigwa-Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.


Hawa ni wananchi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza kwenye mkutano huo

Picha na Mathias Canal (P.T)

Post a Comment

أحدث أقدم