NHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni


1aMkurugenzi wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali hiyo ambayo iilikuwa na uhaba mkubwa wa mashuka.
2a 
Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akitandika kitanda kwa shula la NHIF ambalo ni moja ya mashuka yaliyokabidhiwa hospitalini hapo.
3a 
Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akielezea huduma zinazotolewa hospitalini hapo na kuushukuru Mfuko kwa msaada wa mashuka.
6 
Meneja wa NHIF Mkoa wa Temeke akimjulia hali mgonjwa aliyelazwa hospitalini hapo muda mfupi baada ya kukabidhi msaada wa mashuka.
5a 6a 
Dk. Lekey kulia akifafanua jambo

Post a Comment

أحدث أقدم