Afisa wa Kanda ya Afrika wa ICAO
Papa Issa Mbengue (kushoto)akisisitiza jambo juu ya mfumo mpya wa
shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi wa
wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya
kuongonzea ndege wakati wa Kongamano la mafunzo ya ufanisi wa masuala ya
uongozaji wa ndege linalofanyika kwa siku tatu katika hoteli ya Serena jijini
Dar es Salaam kwa udhamini wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wanaomsikiliza ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Charles Chacha(watatu kutoka kulia) Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma za Uongozaji
ndege Said Onga (Kulia) Meneja mratibu wa safari za ndege Afrika Frederic
Legrand. (wapilia kutoka kulia) na Makamu wa rais wa airspace and airlines
Servises Airbus ya Ufaransa Don Facpues
Ould.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Charles Chacha(kushoto) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la mafunzo
ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi
wa wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya
kuongonzea ndege katikati ni Meneja mratibu wa safari za ndege Afrika Frederic
Legrand, Kongamano hilo linazihusisha nchi za Afrika linafanyika hapa nchini
kwa siku tatu kuanzia leo katika hateli
ya Serena jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma za Uongozaji
ndege Said Onga (Kulia)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Charles Chacha(katikati) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la
mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga
ufanisi wa wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na
mitambo ya kuongonzea ndege. Kongamano hilo linazihusisha nchi za Afrika linafanyika
hapa nchini kwa siku tatu kuanzia leo
katika hateli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja mratibu wa safari za ndege Afrika
Frederic Legrand(African Flight Proceducare Manager) Makamu wa rais wa airspace
and airlines Servises Airbus ya Ufaransa Don Facpues.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Charles Chacha akimsikiliza kwa makini Meneja mratibu wa safari za ndege
Afrika Frederic Legrand(African Flight Proceducare Manager) wakati alipokuwa
akizungumza kwenye kongamano la mafunzo ya
mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye ufanisi wa
wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya
kuongonzea ndege.Kongamano hilo la siku tatu katika hateli ya Serena jijini Dar es
Salaam kwa udhamini wa TCAA.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la
mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye ufanisi
wa wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya
kuongonzea ndege,wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa hapo kongamano hilo limedhaminiwa na TCAA.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Charles Chacha akisalimiana na baadhi ya washitiki wa kongamano la mafunzo
ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye ufanisi
wa wataalamu wa kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya
kuongonzea ndege,wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa hapo kongamano hilo limedhaminiwa na TCAA
linalofanyika kwa siku tatu kuanzia leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Charles Chacha (kulia)akisalimiana na Makamu wa rais wa airspace and airlines
Servises Airbus ya Ufaransa Don Facpues
Ould, baada ya kufungua kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la
Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye ufanisi wa kulenga wataalamu wa
kuongoza ndege ,vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya kuongonzea
ndege.Kongamano hilo linafanyika kwa siku tatu kuanzia leo katika hateli ya
Serena jijini Dar es Salaam.Katikati ni Meneja mratibu wa safari za ndege
Afrika Frederic Legrand.(African Flight Proceducare Manager)
Washiriki wa kongamano lamafunzo ya mfumo mpya wa shirika la kimataifa la usafiri
wa anga (ICAO)kutoka nchi za Nigeria,Mali,Ivort coast,Senager,Rwanda,Cape
Verde,Gabon na Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Kongamano hilo
la siku tatu linalofabnyika kwenye hoteli ya serena jijini Dar es Salaam.
إرسال تعليق