Ukeketaji watua England

Kwa mara ya kwanza tabia ya ukeketaji wa wanawake imegunduliwa England,ukeketaji ulipigwa marufuku nchi humo mwaka 1985,ingawa umekua ukiendelea na hakuna aliyetiwa mkononi mpaka sasa.
Kwa muujibu wa takwimu zilizokusanywa na kitengo cha afya cha taifa hilo zimeonesha kuwa zaidi ya wanawake mia nne na hamsini kwa mwezi mmoja tu uliopita wamegundulika kuwa waathirika wa tabia hiyo mpya na wameshatibiwa .
Mpaka sasa wagonjwa elfu kumi na tatu wanaendelea kupata matibabu,wanaharakati wa kupinga ukeketaji England wanasema kwamba idadi kamili ni kama itamkwa kwa ufinyu,na kukaribisha taarifa zaidi ili kujua ukubwa wa tatizo.BBC

Post a Comment

أحدث أقدم