Video:- Hii Ndio trailer ya filamu ya maisha ya Lionel Messi - Angalia Hapa

 Unapokuwa mchezaji bora wa duniani, unahitaji filamu itakayokuelezea maisha yako halisi, Lionel Messi amefanikiwa kupata bahati hii ya kutengenezewa filamu.
Filamu hiyo iliyoongozwa na director Alex De La Iglesia, pamoja na kuhusisha maisha ya Messi pia imewahusisha marafiki na wanasoka wenzie Messi, kama vile Pep Guardiola, Pique, Pinto, Iniesta, na Mascherano, pia wachezaji wenzie wa timu ya Newell’s Old Boys.
Pamoja na kutokuwepo kwa Messi mwenyewe halisi, muongozaji filamu, Alex de le Iglasia amefanikiwa kuonyesha picha halisi ya maisha ya nahodha huyo wa Argentina.
Filamu hiyo ilizinduliwa jijini Rio de Janeiro na sasa inaonyeshwa kwenye kumbi za sinema huko Amerika ya kusini.

Post a Comment

أحدث أقدم