Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba
Nkinga akifafanua jambo wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo
pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi.
Kaimu
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchuni Bw. James Kajugusi akitoa mada
kuhusu majukumu ya Maafisa Vijana wakati kikao kazi cha Maafisa Vijana
(hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora
Mkurugenzi
wa Ubunifu wa Kampuni ya GODTEC Bw. Aloyce Midelo akielezea namna
Kampuni yao inavyosaidia vijana katika kujiari kwa kuanzisha makampuni
yao wenyewe. ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo
ya Vijana Bw. James Kajugusi
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) akifafanua namna NHC ilivyo saidia vijana kupitia mradi wa
ufyatuaji wa matofali na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.Kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Bibi. Sihaba Nkinga na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw.
James Kajugusi
Meneja
Miradi wa DSW Tanzania Bw. Avit Buchwa akielezea namna Shirika lao
linavyosaidia vijana katika Nyanja ya Afya ya Uzazi. Katikati ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba
Nkinga na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi
Baadhi ya Maafisa Vijana wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa wawezeshaji (hawapo pichani)
Baadhi ya Maafisa Vijana wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa wawezeshaji (hawapo pichani)
………………………………………………………………..
Na Jonas Kamaleki
Maafisa Vijana wamekutana kati kikao kazi hiki ikiwa ni
utaratibu wa kila mwaka ambapo unatekelezwa mara baada ya Kilele cha
Mbio za Mwenge na Maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambapo mwaka huu kitaifa
imefanyika Mkoani Tabora.
إرسال تعليق