Viongozi
wa Chadema wakiwapungia mikono wananchi waliofika kuwapokea Uwanja wa
Ndege wa Chakechake Pemba baada ya kuwasili kisiwani humo kwa mkutano
wao Wakiwa na Katibu Mkuu wa Chadema Slaa.
Katibu Mkuu wa Chadema Dk,Slaa
akivishwa koja la maua na mtoto aliyweandaliwa katika sherehe za
mapokezi ya Viongozi hao walipowasili uwanja wa ndege Pemba kwa ziara
yao na kuzungumza na wanachama wao.
Ngoma ya Kibati ikitumbuiza mapokezi ya viongozi
wa Chadema huko Pemba.
Katibu mkuu wa Chadema Taifa.Dk Slaa akiwahutubia
Wanachama wa Chadema huko
katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya FidelCastro Pemba.
Post a Comment