Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea,
Mathias Chikawe (Kushoto), akimsalimia Katibu wa CCM tawi la Kijiji cha
Mkurupita, Kata ya Ndomoni, Nora Lwambano wakati alipokuwa akiwasili
katika Ukumbi wa Mikutano wa kata hiyo kwa ajili ya kuzungumza na
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata hiyo, Wajumbe wa Mabaraza ya
Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee
katika Kata hiyo. Waziri Chikawe alitoa msaada wa madaftari na kalamu
kwa ajili ya kuzisaidia shule za Msingi na Sekondari katika kata hiyo.
Chikawe pia aliwaomba wajumbe hao washiriki kikamilifu katika uchaguzi
ujao wa Serikali za Mitaa na pia kuipigia kura ya ndiyo Katiba
iliyopendekezwa. Picha na Felix Mwagara.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea,
Mathias Chikawe (Kulia), akimkabidhi madaftari na kalamu Diwani wa Kata
ya Ndomoni, Rafael Saanane kwa ajili ya kuzisaidia Shule za Msingi na
Sekondari zilizopo katika kata hiyo. Waziri Chikawe yupo jimboni humo
kwa ajili ya kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi wake kupitia
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM za Kata, Wajumbe wa Mabaraza ya
Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee
katika Kata za Jimbo hilo. Aidha, Chikawe aliwaomba wajumbe wa kata za
jimboni kwake kushiriki kikamilifu katika uchaguzi ujao wa Serikali za
Mitaa na pia kuipigia kura ya ndiyo Katiba iliyopendekezwa. Picha na
Felix Mwagara.
Baadhi
ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata ya Ndomoni, Wajumbe wa
Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa
Baraza la Wazee katika Kata hiyo wilayani Nachingwea, Mkoa wa Lindi
wakishirikiana kubeba maboksi ya madaftari na kalamu msaada uliotolewa
na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la
Nchingwea, Mathias Chikawe kwa ajili ya kuzisaidia Shule za Msingi na
Sekondari zilizopo katika kata hiyo. Waziri Chikawe pia alizungumza na
wajumbe hao na kuwaomba kushiriki kikamilifu katika uchaguzi ujao wa
Serikali za Mitaa na pia kuipigia kura ya ndiyo Katiba iliyopendekezwa.
Picha na Felix Mwagara.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea,
Mathias Chikawe (Kushoto), akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya
CCM ya Kata ya Ndomoni, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM
Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee katika Kata hiyo.
Waziri Chikawe alitoa msaada wa madaftari na kalamu kwa ajili ya
kuzisaidia shule za Msingi na Sekondari katika kata hiyo. Chikawe pia
aliwaomba wajumbe hao washiriki kikamilifu katika uchaguzi ujao wa
Serikali za Mitaa na pia kuipigia kura ya ndiyo Katiba iliyopendekezwa.
Picha na Felix Mwagara.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea,
Mathias Chikawe, akishangiliwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya
Kata ya Naipanga, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM wa Kata
hiyo, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee wakati alipokuwa
akiondoka katika Ukumbi wa Mikutano wa Kata hiyo. Waziri Chikawe
aliwaomba wajumbe hao kushiriki kikamilifu katika uchaguzi ujao wa
Serikali za Mitaa na pia kuipigia kura ya ndiyo Katiba iliyopendekezwa.
Picha na Felix Mwagara.
إرسال تعليق