Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za
uwekezaji barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba
20/10/14.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa
Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania
nchini Uingereza, Peter Kallage Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji
barani Afrika kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 20/10/14. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
aibu
Mawaziri, Charles Kitwanga wa Nishati na Madini (kushoto), Dkt. Charles
Tizeba wa Uchukuzi (katikati ) na Mahadhi Maalim wa mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati
alipozungumza kwenye mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika
kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa Zamani wa Nigeria na
Mwenyekiti wa mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika,
Olusegun Obasanjo (kushoto) baada ya kuzungumza katika mjadala huo
kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 201014. wengine pichani kutoka
kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais John Mahama wa Gahana
na Rais Paul Kagame wa Rwanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Zamani wa Nigeria na
Mwenyekiti wa mjadala kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika,
Olusegun Obasanjo (kushoto) baada ya kuzungumza katika mjadala huo
kwenye hoteli ya Savoy , London, Oktoba 20/10/14. wengine pichani
kutoka kushoto ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais John Mahama wa
Gahana na Rais Paul Kagame wa Rwanda.
إرسال تعليق