Mwanamke kwa jina Ting Su nchini
Uchina alimwacha mumewe na dadake bila nguo barabarani baada ya kuwapata
wakifanya mapenzi Ting Ting Su aligundua kwamba mumewe alikuwa
akimdanganya na dadaake na kuwafuata hadi katika kituo kimocha cha
maduka akitumia teknologia katika simu yake ambapo aliwapata
wakichemshana katika gari la mumewe.
Wawili hao walitoka ndani ya
gari hilo bila nguo kwa kubabaika ili kujaribu kumuelezea kilichokuwa
kikendelea lakini waliwachwa na mshangao mkubwa wakati Ting alipoingia
ndani ya gari hilo na kuondoka kwa haraka na kuwawacha wawili hao
barabarani bila nguo.
Kulingana na gazeti la Metro,shahidi
aliyejulikana kama You Meng alisema walioshuhudia kisa hicho walibeba
simu zao na kuanza kuchukua picha na yeye hakubakia nyuma.
Mumuwe aligonga dirisha la gari hilo na kumpigia kele mkewe lakini hakujali kamwe aliliondosha gari hilo kwa haraka.
- BBC
Post a Comment