
WIki iliyopita tarehe 17-18, Ubalozi Mdogo kwa kushirikiana na
Wizara ya Maliasili na Utalii, uliandaa kongamano la uwekezaji katika
sekta ya utalii, kwa nia ya kuvutia wawekezaji na watalii ili kuongeza
idadi kubwa ya watalii wanao kwenda kuitembelea Tanzania.
Ubalozi Mdogo umejiwekea utaratibu katika mpango wake wa mwaka, kuandaa kongamano za uwekezaji tatu kwa kila mwaka.
Ni
imani kuwa mpango huu utasaidia kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo
Tanzania na kuvutia idadi kubwa ya watalii kuitembelea Tanzania na
vivutio vyake.
Post a Comment