Mheshimiwa Lowassa ala krismasi yake Mwanakwerekwe Zanzibar


Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica
Freddy katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar 
walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi


Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Regina (kulia) akiwasalimia waumini wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar 
walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi




Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica
Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi i

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya
Skukuu ya Krismasi . Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi

Post a Comment

Previous Post Next Post