Mheshimiwa Lowassa ala krismasi yake Mwanakwerekwe Zanzibar
Hisia0
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica
Freddy katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar
walipohudhuria ibada ya
Skukuu ya Krismasi
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Regina (kulia) akiwasalimia waumini wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar
walipohudhuria ibada ya
Skukuu ya Krismasi
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica
Freddy wakisoma Biblia
katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja,
Zanzibar walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi i
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya
Skukuu ya Krismasi .
Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi
إرسال تعليق