MARCIO MAXIMO AONDOKA RASMI NCHINI KUREJEA KWAO NCHINI BRAZIL



Baada ya Taarifa rasmi kutoka klabu ya Yanga December 15, 2014 kuwa kocha Mbrazil Marcio Maximo ameondoka ndani ya timu hiyo  baada ya uongozi wa Yanga kufikia makubaliano naye ya kuvunja mkataba, Marcio Maximo aondoka rasmi nchini kurejea kwao nchini Brazil na ndege ya shirika la ndege la Emirates.

Post a Comment

أحدث أقدم