Beki wa timu ya Taifa ya Jangombe,Hassan Ishaka akimzuiya mshambuliaji
wa timu ya Simba Yussuf Baraka, katika mchezo wa kirafiki wa kumuenzi
Rais wa Timu ya Taifa ya Jangombe Marehemu Maulid Hamad, uliofanyika
katika uwanja wa Amaan,timu ya Simba imetoka na ushindi wa mabao 3-1.
إرسال تعليق