Kamati ya Maandalizi ya Michuano ya Wazi ya mchezo wa Kikapu kuibua
vipaji kwa Vijana wadogo katika mchezo huo Zanzibar, Michuano hiyo
imefadhiliwa na Mfanya Biashara ya Mahoteli Zanzibar Amani Ibrahim
Makungu, ili kuinua mchezo wa Kikapu Zanzibar.
Wachezaji wa New West wakipata maelekezo kutoka kwa kocha wao wakati wa
kota ya pili ya mchezo huo uliofanyika viwanja vya maisara.
Mchezaji mkongwe wa mchezo wa Kikapu Zanzibar Taso akitowa maelekezo kwa
wachezaji wa timu yake wakati wa mapumziko ya mchezo huo.
Mchezaji wa timu ya Cavarious akipasketi mpira huku mchezaji wa Nwe West akimkimbilia katika mchezo huo.
Mchezaji wa timu ya New West akidanki juu kuingia basket katika mchezio huo uliofanyika viwanja vya maisara Zenj.
Mchezaji wa timu ya Cavarious , akijiandaa kumpita mchezaji wa timu ya
New West katika mchezo wa kuibua vipaji kwa Watoto walioko chini ya
U-17, michuano hiyo inafanyika katika viwanja vya maisara.
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa Kikapu Zanzibar wakifuatilia michuano ya
Wazi kuinua Vipaji kwa Watoto walioko chini ya umri wa miaka 17,
yaliofadhiliwa na Mfanyabiashara maarufu wa mahoteli ya Zanzibar Ocean
View Zanzibar Ndg Ibrahim Makungu,yanafanyika katika viwanja vya
maisara Zenj.
إرسال تعليق