Kiwanja
kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kinatarajiwa kuzinduliwa mkesha wa
sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa kiko
maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia
panda ya Mahitamita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, siku ya mkesha
wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa na na kiko katika hatua za
mwisho mwisho kukamilisha kila kitu ili kuwapa burudani wateja wake
ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa kisasa kama vile
Bongofleva na muziki wa zamani na vyakula mbalimbali vitapatikana.
Hizi
ni baadhi ya picha zinazoonyesha jengo kwa nje na maendeleo ya
kukamilisha ujenzi kwa ndani kwenye klabu hiyo ambao umefikia asilimia
99 kabla ya kufunguliwa mkesha wa Krismas.
إرسال تعليق