Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege
la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya
huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya
Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota kushoto na Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Tayari kwa kuhudhuria
Tamasha la Krismas ambalo linafanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini
Mbeya, Mh, Sumaye atakuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ambalo
litashirikisha waimbaji wengi kutoka hapa nchini na nchi jirani.(PICHA
NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE -MBEYA).
Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege
la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya
huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya
Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama wa pili kutoka kushoto, mwisho
kushoto ni MC Mwakipesile wa jijini Mbeya.
Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Promotion Bw. Alex Msama wakimsikiliza MC Mwakipesile mara baada ya
kuwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya.
Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Promotion Bw. Alex Msama wakifurahia jambo kutoka kushoto ni Katibu Mkuu
wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David
Mwasota na MC Mwakipesile.
Mwakipesile
kulia na John Melele mmoja wa waratibu wa Tamasha hilo wakifurahia
jambo kwenye uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya.
إرسال تعليق