Fid Q amchukua Nisher kuongoza video ya ‘Bongo Hip Hop’

Fid Q amemchukua Nisher kuongoza video ya ngoma yake ‘Bongo Hip Hop’.
Akiongea na 255 kwenye kipindi cha XXL, Clouds FM, Fid amesema ataanza kushoot video hiyo mwishoni mwa wiki hii.
Ngoma amedai kuwa amemchagua Nisher kuongoza video hiyo kwakuwa alikubali kazi aliyoifanya kwenye video ya wimbo alioshirikishwa na Young Killer, 13

Post a Comment

أحدث أقدم