Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni (hiyo hapo juu) ikiwa kama ni “ThrowBackThursday” (TBT) yake, na kuiandikia mameno haya;
“Let me ThrowitBack ,Shikana Mama, Enzi ZaUjana
Sijawahi kuwa mweusi lol..! Rangi Ya Mtume Nimezaliwa Nayo”
Jiwe gizani, wewe je hautumii? Hata wa kaka nao nasikia wamo!!!!.
Mzee wa Ubuyu
Post a Comment