Baba wa kambo wa Kim Kardashian ambaye ni baba mzazi wa Kendall na Kyle, Bruce Jenner yupo kwenye mchakato wa kujibadilisha kuwa mwanamke, kwa mujibu wa People.
Taarifa hiyo imetolewa na mtu wa familia yake na kwamba ni mtu mwenye furaha na wanae wamekubaliana na hilo.
Mchakato huo wa kubadilika kuwa mwanamke unatengenezwa makala maalum zitakazokuwa kwenye series.
Post a Comment