Beki
wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia
Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu
Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar
es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu katika
mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
Weeee.........
Wachezaji wa Timu ya JKT Ruvu wakishangilia goli lao la kusawazisha dhidi ya Simba,katika
mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
Post a Comment