Msanii Madee kutoka kundi la TIP TOP
Connection anatarajia kuzinduz video yake mpya tarehe 7 mwezi wa 2 mwaka
huu pale Mikocheni kwenye ukumbi wa ESCAPE 1. Kabla Madee hajazindua
video hii jana meneja wake Babu Tale alishare na wadau kipande cha video
hii kwenye Instagram na kuleta comments nyingi za watu wakilalamika
kuwa video hii kuna kipande cha mwanadada anayecheza jikoni kwamba
ataifanya video hii isichezwe hapa BONGO.
Haya mdau nimeona na mimi niwawekee hapa ili kionjo hiki kisiwapite na nyie
Post a Comment