
Matonya alifafanua kuwa picha hiyo alipigwa katika video yake mpya lakini Jide akaichukua na kuiweka mitandaoni pasipo kumuuliza.
Matonya akiwa mtungi.
“Ile picha aliyoitumia kunidhalilisha ilikuwa ni ya video yangu ya
wimbo mpya unaoitwa Homa ya Jiji ambayo itatoka hivi karibuni, sasa yeye
ameweka mitandaoni na kusababisha watu wanidharau kwa kuona nimelewa
chakari, asiponiomba radhi nitahakikisha namfikisha mahakamani,” alisema
Matonya.Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Jide aliiposti picha ya Matonya akiwa amelala na kusindikiza na ujumbe ulioonesha kama hamjui msanii huyo hali iliyosababisha mashabiki wengi kumsema vibaya Matonya.
إرسال تعليق