Picha:- Ajisifu kwa Kufanikiwa Kuongeza Matiti, Asema Asikitiki kuwa Makubwa Kama Yalivyo - Mayra Hills

Mwanamke huyu anashika nafasi ya kwanza kwa wanawake akiwa na matiti makubwa kuliko wote duniani lakini ni yale fake (bandia) ya kuongeza ambapo jina lake anaitwa Mayra Hills raia wa Ujerumani. Kila titi lake moja lina ujazo wa kilogramu 10 sawa na ndoa ndogo ya maji na anavaa brazia size ya 32 ambapo kwa wanawake wanajua kuhusiana na hili yani zile nguo za kusimamisha maziwa, kama ujuavyo kuna wanawake wengine wanakua wanachukia miili yao sana lakin kwa huyu imekuwa ngumu na kila siku amekuwa akitupia picha zikionyesha maziwa yake yalivyo lol ebu tizama hapa chini ujionee


 Yawezekana yanampa ulaji au raha yeyeto maishani hapa duniani
Waweza jiuliza yanafaida gani, naamini jibu la moja kwa moja shida kupatikana ila wenye nayo wanaijua. Au la msomaji wetu wafahau vizuri faida ya jambo hili, basi tuambie

Post a Comment

أحدث أقدم