Picha juu ni Mwonekano Mzima wa Majengo
(mawili ya katikati) ya Ubalozi wa Tanzania Paris Ufaransa kama
yanavyoonekana kwa nje baada ya Kuzinduliwa Rasmi Rais
Jakaya Mrisho Kikwete Nchi ya New Zealand ndiyo
iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano ya ofisi pamoja
na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa wa ubalozi
Picha:Mwonekano Mzima wa Majengo Mapya ya Ubalozi wa Tanzania Paris Ufaransa yaliyozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete
Hisia
0
Post a Comment