KUONESHA walishibana, staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’
amefunguka kuwa ametokewa ndotoni na aliyekuwa shosti yake kipenzi,
marehemu Rachel Haule ‘Recho’.
Staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Odama alisema, imepita miezi saba tangu Recho aondoke duniani lakini ameshtuka kumtokea hivi karibuni usiku na kumfanya amkumbuke upya.
“Kimenishtua sana kitendo hicho kwa kweli, natamani sana uwepo wa rafiki yangu sina la kusema nazidi tu kumuombea siku hadi siku,” alisema Odama ambaye anatarajia kuachia sinema mpya inayokwenda kwa jina la Jada.

Post a Comment