Shilole Afunguka Baada Ya Kumpiga Kofi Mpenzi Wake Nuh Mziwanda

"Huyu hapa mjanja wangu mimi.daah nimekamatika hapa.na naamini ni mwanaume sahihi kwangu mana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga mie mjeuri tu.mnao muhandama mme wangu mmeshindwa.kugombana ni kawaida sana kwenye mapenzi na kama nliwaudhi mashabiki wangu mnisamehe mie nampenda mme wangu"

Post a Comment

Previous Post Next Post