UJIO MPYA WA Y TONY WATEKA WATU WENYE AKILI ZAO

Msanii heri michael kilema a.k.a Y tony aliewahi kutamba na ngoma zake kama masebene na my shitobe ametoa ngoma yake mpya ambayo imeanza kuzua gumzo tanzania na nje ya tanzania aliomshirikisha barnabas ngoma inaitwa Mama
Ngoma hiyo inayozungumzia mtoto akimwambia mama yake hasidai talaka kwa mana akiachika wao watapata tabu na kulelewa na mambo wa kambo .. kwa mana wanayaona matukio mengi ya mama wa kambo akiwatesa watoto wa jirani kwa kuwachoma moto na kuwatesa…
Wamesikika watu wazima mbalimbali wakimzungumzia y tony. katika nyimbo kali ambazo ameimba na hii imo kwa mana ujumbe wake ni mzuri na unafundisha jamii na kuelimisha jamii yetu.. maudhui pia ya video katika wimbo huu ndio tishio kabisa video ni kali sana inaendana na matukio yanayoimbwa.

angali na video ya wimbo huo hapa chini.

Post a Comment

أحدث أقدم