Picha Mbali Mbali za Sherehe ya THT Kusherehekea Miaka Kumi, Amini Alia Jukwaani na Mkewe Kwa Furaha

Amini Akilia jukwaani na Mkewe  Jana Jumba la Vipaji Tanzania THT walisherehekea Miaka Kumi toka Kuanzishwa Kwake Pale Escape 1, Mambo yalikuwa matamu sana kwani wasanii wote walio.....

 pitia katika Jumba Hilo la Vipaji walitoa Burudani safi kabisa ya live na kufanikiwa kuwagonga nyoyo mashabiki waliofurika kushuhudia Tukio Hilo...Mpiga picha wa wetu Aliweza Kupata Matukio Mbali Mbali Likiwemo la Amini na Mkewe Kulia Kwa Furaha Jukwaani , Amini na Mkewe wote ni zao la THT , walikutana Hapo na Mwisho ikazaliwa Ndoa..










Post a Comment

أحدث أقدم