Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi
HII
IMETOKEA MAGOMENI YASEMEKANA JAMAA ALIKUWA NA UGOMVI NA MKEWE ,AKAMWITA
MKE WAKE HOTELINI KUSULUHISHA UGOMVI WAO .MKE AKASHANGAA MBONA LEO
HOTELI ,MUME KASEMA NYUMBANI KUNA WATOTO .BAADA YA KUKUBALI KWENDA
HOTELINI HUKU WAKIWA NDANI NDO KUMVAMIA NA KUANZA KUMJERUHI KWA KUMTOA
ROHO YAKE KWA KUMCHOMA NA KISU KWENYE MOYO KISHA NA KUIKATA SHINGO.
BAADA
YA KUONA KASHA UA NAYE KAAMUA AJICHOME KISU SHINGONI ILI AJIUE ..BAADA
YA KUHISI MAUMIVU MAKALI AKAAMUA KUJISALIMISHA KWA WAHUDUMU WA
HOTELI.NDO WAHUDUMU WAKATOA TAARIFA POLISI NDO KUKAMATWA SASA.
إرسال تعليق