Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo
Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (kulia)akishaurina na Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Said Mwambungu(katikati) leo mjini Songea wakati wa mazoezi ya
mwisho ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka
2015.Wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana James
Kajugusi(mwenye kofia nyeupe) na Katibu wa Waziri wa Habari , Vijana ,
Utamaduni na Michezo Juma Mswadiki(mwenye tshirt ya bluu bahari)
Naibu
Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma
Nkamia (wa pili kulia)akishaurina na Katibu Mkuu wa Mkuu wa Habari ,
Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga leo mjini Songea wakati wa
mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya uzinduzi
wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2015.Wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa
Idara ya Maendeleo ya Vijana James Kajugusi(mwenye kofia nyeupe) na
Waziri wa Uwezeshaji , Ustawi wa Jamii , Vijana ,wanawake na Watoto wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Zainabu Omary Mohamed(kushoto)
Waziri
wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella
Mukangara (katikati)akishaurina na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Mwambungu(kushotoi) na Waziri wa Uwezeshaji , Ustawi wa Jamii , Vijana
,wanawake na Watoto wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Zainabu Omary Mohamed(kulia) leo mjini
Songea wakati wa mazoezi ya mwisho ya
maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2015,
utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Waziri
wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella
Mukangaraakizunguza na wandishi wa habari leo mjini Songea.
Kikundi
cha sanaa cha Mlale JKT mkoani Ruvuna kikitumbuiza leo mjini Songea
wakati wa
mazoezi ya mwisho ya
maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2015
,utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
إرسال تعليق