Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifariji familia
ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang'ombe
jijini Dar es salaam jioni ya jaan April 27, 2015. Marehemu
anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini
Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa Mtoro, baada
ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya
Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia wakati Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu
Hashim Mbita Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya jana April
27, 2015. Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya
Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala
ya Alasiri katika msikito wa Mtoro, baada ya kupata heshima zote za
kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma kikwete wakimsikiliza
mtoto wa Marehemu Bw. Iddi Mbita kuhusu taratibu za mazishi walipokwenda
kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita
Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya jana April 27, 2015.
Marehemu
anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini
Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa Mtoro, baada
ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya
Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Kikwete akiondoka msibani.Picha na IKULU
إرسال تعليق