Muigizaji na projuza
wa sinema za Kihindi, Salman Khan yuko
nje kwa dhamana akisubiri rufaa yake baada ya mahakama moja ya Mumbai kumtupa
jela miaka mitano kwa kosa la kuua mtu asiye na makazi baada ya kumgonga na
kukimbia.
Muigizaji huyo ambaye
ameonekana katika filamu zaidi ya 80 na kujijengea umaarufu mkubwa katika
sinema na mafanikio yake kuonekana katika biashara hukumu yake imepokea kwa
hisia tofauti.
Mauaji hayo yalifanyika
mwaka 2002.
Mtu
huyo alikuwa mmoja wa watu watano waliogongwa na Khan na jaji alihukumu kwamba Khan
wakati anaendesha alikuwa amelewa.
Muigizaji
huyo ambaye alifanya vyema katika sinema za Dabangg, Ready, Bodyguard, Ek Tha
Tiger, Maine Pyar Kiya and Hum Aap Ke Hain Kaun alihukumiwa na jaji DW
Deshpande.
Muigizaji
huyo mwenye umri wa miaka 49 pia alipatikana na makosa ya kuendesha gari
kizembe na kusababisha majeruhi.
Jamaa
zake walitarajia Khan kupata kifungo cha mwaka mmoja au si zaidi ya miaka
mitatu.
Haki baada ya miaka 13?Soma hii lakini
kwa king’eng’e
September
2002: Salman Khan's car runs over five people sleeping on a Mumbai street,
killing a homeless man and injuring four others
October
2002: Khan charged with culpable homicide not amounting to murder - arrested
but granted bail
May
2003: Court rejects his plea to drop culpable homicide charge
June
2003: Bombay high court drops culpable homicide charge; actor is then tried for
rash and negligent driving
October
2007: Prime witness, a constable who served in his security detail, dies
March
2015: Khan tells the court he was not drunk and his driver was behind the wheel
May
2015: Khan found guilty, sent to jail for five years
إرسال تعليق