Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, akizungumza na mama huyu
mkazi wa kijiji cha Nyakunguru, kilicho jirani na eeno la mgodi wa
North Mara, huko Nyamongo wilayani Tarime mkoa wa Mara, wakati
alipofanya ziara ya kutembelea maeneo yanayozunguka mgodi huo Jumatatu
Mei 5, 2015 ili kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza miradi ya kijamii
na changamoto ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana na shughuli za
uchimbaji.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (Wapili kushoto),
akizungumza jambo wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa nyumba moja kwa
mtindo unaoitwa na wakazi wa Nyamongo “Tegesha”, mita chache kutoka
uzio wa mgodi wa North Mara, ili kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza
miradi ya kijamii na changamoto ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana
na shughuli za uchimbaji. Naibu waziri amesikitishwa na mtindo huo
ambapo wananchi hususan wanotoka nje ya eneo la Nyamongo, hujenga
majengo haraka haraka eneo la kuzunguka mgodi huo kwa matarajio ya
kujipatia malipo makubwa ya fidia kinyume na tathmini iliyofanywa awali.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (kushoto), akisalimiana
na Meneja Uendelezaji wa kampuni ya Acacia, Asa Mwaipopo, wakati
alipofika kwenye kijiji cha Nyakunguru, kilicho jirani na mgodi wa North
Mara, Mara ulioko Nyamongo, wilayani Tarime mkoa wa Mara Jumatatu Mei
4, 2015, ili kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza miradi ya kijamii na
changamoto ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana na shughuli za
uchimbaji Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious
Luoga,(Watatu kulia), Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi huo, Jimmy Ijumba,
(Wapili kulia) na Mkuu wa Mahusiano ya Serikali wa kampuni ya Acacia,
Alex Lugendo.
Meneja
Uendelezaji wa Mgodi wa dhahabu wa North Mara, Abel Yiga, (kushoto),
akimpatia maelezo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga
wakati waziri huyo alipotembelea maeneo yanayozunguka mgodi huo ili
kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza miradi ya kijamii na changamoto
ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana na shughuli za uchimbaji.
Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, (Watatu kulia), na
kaimu kiongozi wa kitengo cha mahusiano ya kijamii ya mgodi wa North
Mara, Zakayo Kalebo. (kushoto)
Meneja
Unedelezaji wa Kampuni ya Acacia, inayomiliki migodi ya Bulyanhulu,
Buzwagi na North Mara, Asa Mwaipopo, (katikati), akimpatia maelezo Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (kushoto), wakati wa
ziara yake ya kutembelea mgodi wa North Mara ili kufahamu jitihada za
mgodi kuendeleza miradi ya kijamii na changamoto ambazo Jamii na Mgodi
zinapata kutokana na shughuli za uchimbaji. Kulia ni Mkuu wa Mahusiano
ya Serikali wa kampuni ya Acacia, Alex Lugendo
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (kushoto), akisalimiana
na Meneja Uendelezaji wa kampuni ya Acacia, Asa Mwaipopo, wakati
alipofika kwenye kijiji cha Nyakunguru, kilicho jirani na mgodi wa North
Mara, Mara ulioko Nyamongo, wilayani Tarime mkoa wa Mara Jumatatu Mei
4, 2015, ili kufahamu jitihada za mgodi kuendeleza miradi ya kijamii na
changamoto ambazo Jamii na Mgodi zinapata kutokana na shughuli za
uchimbaji Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious
Luoga,(Watatu kulia), Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi huo, Jimmy Ijumba,
(Wapili kulia) na Mkuu wa Mahusiano ya Serikali wa kampuni ya Acacia,
Alex Lugendo
إرسال تعليق