Orodha Ya Vitabu Alivyokuwa Anavisoma Au Ameshavisoma Osama Bin Laden Kabla Hajauawa

Osama-Books
Unapoongelea masuala ya ugaidi duniani, huwezi kumweka pembeni Osama Bin Laden ambaye kwa wakati fulani alikuwa kwenye orodha ya dunia ya The Most Wanted Man In The World akishikilia nafasi ya kwanza. Msako wa Osama Bin Laden ulipamba moto baada ya tukio la kigaidi nchini Marekani linalojulikana kama 9/11 kutokana na tarehe yake. Lilikuwa tukio la kigaidi ambalo liliitikisa dunia na kimsingi limebadilisha sura nzima ya dunia mpaka hivi leo hususani katika masuala ya ulinzi,usalama na diplomasia.
Kilichofuatia baada ya 9/11 ni msako mkali kumtafuta Osama Bin Laden ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa kundi la kigaidi la Al-Queda kabla ya kuuawa na kikosi maalum cha Marekani mwaka 2011 huko Abbottabad nchini Pakistani.
Sasa kama ambavyo ungetegemea, Osama alikuwa msomaji sana wa vitabu. Bila shaka unajua umuhimu wa kujisomea. Osama alielewa hilo. Mapema leo serikali ya Marekani imeweka hadharani orodha ya baadhi ya vitu vilivyokutwa mafichoni alipokuwa vikiwemo vitabu vya lugha ya kiingereza alivyokutwa navyo. Hii hapa chini orodha kamili
  1. The 2030 Spike by Colin Mason
  2. A Brief Guide to Understanding Islam by I. A. Ibrahim
  3. America’s Strategic Blunders by Willard Matthias
  4. America’s “War on Terrorism” by Michel Chossudovsky
  5. Al-Qaeda’s Online Media Strategies: From Abu Reuter to Irhabi 007 by Hanna Rogan
  6. The Best Democracy Money Can Buy by Greg Palast
  7. The Best Enemy Money Can Buy by Anthony Sutton
  8. Black Box Voting, Ballot Tampering in the 21st Century by Bev Harris
  9. Bloodlines of the Illuminati by Fritz Springmeier
  10. Bounding the Global War on Terror by Jeffrey Record
  11. Checking Iran’s Nuclear Ambitions by Henry Sokolski and Patrick Clawson
  12. Christianity and Islam in Spain 756-1031 A.D. by C. R. Haines
  13. Civil Democratic Islam: Partners, Resources, and Strategies by Cheryl Benard
  14. Confessions of an Economic Hit Man by John Perkins
  15. Conspirators’ Hierarchy: The Committee of 300 by John Coleman
  16. Crossing the Rubicon by Michael Ruppert
  17. Fortifying Pakistan: The Role of U.S. Internal Security Assistance (only the book’s introduction) by C. Christine Fair and Peter Chalk
  18. Guerilla Air Defense: Antiaircraft Weapons and Techniques for Guerilla Forces by James Crabtree
  19. Handbook of International Law by Anthony Aust
  20. Hegemony or Survival: America’s Quest for Global Dominance by Noam Chomsky
  21. Imperial Hubris by Michael Scheuer
  22. In Pursuit of Allah’s Pleasure by Asim Abdul Maajid, Esaam-ud-Deen and Dr. Naahah Ibrahim
  23. International Relations Theory and the Asia-Pacific by John Ikenberry and Michael Mastandano
  24. Killing Hope: U.S. Military and CIA Interventions since World War II by William Blum
  25. Military Intelligence Blunders by John Hughes-Wilson
  26. “Project MKULTRA, the CIA’s program of research in behavioral modification.” Joint hearing before the Select Committee on Intelligence and the Subcommittee on Health and Scientific Research of the Committee on Human Resources, United States Senate, Ninety-fifth Congress, first session, August 3, 1977. United States. Congress. Senate. Select Committee on Intelligence.
  27. Necessary Illusions: Thought Control in Democratic Societies by Noam Chomsky
  28. New Pearl Harbor: Disturbing Questions about the Bush Administration and 9/11 by David Ray Griffin
  29. New Political Religions, or Analysis of Modern Terrorism by Barry Cooper
  30. Obama’s Wars by Bob Woodward
  31. Oxford History of Modern War by Charles Townsend
  32. The Rise and Fall of the Great Powers by Paul Kennedy
  33. Rogue State: A Guide to the World’s Only Superpower by William Blum
  34. The Secret Teachings of All Ages by Manly Hall (1928)
  35. Secrets of the Federal Reserve by Eustace Mullins
  36. The Taking of America 1-2-3 by Richard Sprague
  37. Unfinished Business, U.S. Overseas Military Presence in the 21st Century by Michael O’Hanlon
  38. The U.S. and Vietnam 1787-1941 by Robert Hopkins Miller
  39. “Website Claims Steve Jackson Games Foretold 9/11,” article posted on ICV2.com (this file contained only a single saved web page)
Orodha na picha kwa hisani ya mtandao wa Mashable

Post a Comment

أحدث أقدم