Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuokoa wanawake 234 kati ya 700,
waliopatikana ndani ya wiki moja kufuatia msako mkali unaoendelea kwenye
misitu ya nchi hiyo dhidi ya kikundi cha waasi cha Boko Haram.
Hata hivyo mtandao wa “International Business Times” umeripoti kuwa, wanawake 214 wamekutwa na ujauzito.
Mtandao huo umetaja baadhi ya mateso waliokuwa wakiyapata mateka hao,kuwa ni pamoja na kulazimishwa kutumika kingono, mafunzo ya kijeshi na kufanyishwa kazi ngumu.
Wakati hayo yakiendelea ,Hatma ya wasichana wengine 200 waliotekwa kutoka mji wa Chibok mwaka mmoja uliopita bado haijulikani.

إرسال تعليق