AOKOTWA AMEKUFA ENEO LA JESHI KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM


 AOKOTWA AMEKUFA ENEO LA JESHI KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM


 Wananchi wakiangalia mwili wa mu aliyekutwa amekufa katika shamba la Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Wanamaji Kigamboni, Dar es Salaam jana.
   Askari Jeshi akisaidiana na Polisi kuuchukua mwili wa marehemu, tayari kuupeleka kuhifadhiwa Hospitali
                  Askari Kanzu wakiupandisha mwili kwenye gari la Polisi.Picha na Khamis Mussa

Post a Comment

Previous Post Next Post