AOKOTWA AMEKUFA ENEO LA JESHI KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
Wananchi
wakiangalia mwili wa mu aliyekutwa amekufa katika shamba la Kambi ya
Kikosi cha Jeshi la Wanamaji Kigamboni, Dar es Salaam jana.
Askari Jeshi akisaidiana na Polisi kuuchukua mwili wa marehemu, tayari kuupeleka kuhifadhiwa Hospitali
Askari Kanzu wakiupandisha mwili kwenye gari la Polisi.Picha na Khamis Mussa
إرسال تعليق