Msanii Golden Teacher, ambaye alijitambulisha ipasavyo na wimbo wake wa Carolina na ukafanya vizuri japo si sana, Sasa anakuja tena na wimbo wake mpya wa Kipotable ambao upo jikoni unaendelea kupikwa Huu ndiyo Introduction ya wimbo huo, Sikiliza wimbo wa kipotable ambao unaendelea kuwekewa Vocal.
إرسال تعليق