MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MAZISHI YA BRIGEDIA GENERAL MSTAAFU ADAM MWAKANJUKI UNGUJA


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MAZISHI YA BRIGEDIA GENERAL MSTAAFU ADAM MWAKANJUKI UNGUJA

 Mke wa Marehemu Brigedia General mstaafu, Adam Mwakanjuki, Bi. Ikupa Mwakanjuki, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mumuwe, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo, Aprili 22, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka mchanga katika kaburi la Brigedia General Mstaafu, Adam Mwakanjuki, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo, Aprili 22, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 -Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, Shimbo, akiweka mchanga katika kaburi la Brigedia General Mstaafu, Adam Mwakanjuki, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo, Aprili 22, 2012. 
 
Watoto wa marehemu, wakiweka mchanga.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Post a Comment

أحدث أقدم