Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki ,
Joshua Nassari kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili
18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge
wa Busega, Dr.Titus Kamani akisalimiana na madaktari wanafunzi wa Chuo
cha Bugando, Mwanza ambao Aprili 18, 2012 walitembelea Bunge Mjini
Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
إرسال تعليق